Cifra Club

Baba Yetu (Pai Nosso)

Evandro Oliva

We don't have the chords for this song yet.

Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

Baba yetu, yetu uliye
Mbinguni yetu, yetu, amina
Baba yetu, yetu, uliye
Jina lako litukuzwe

Utupe leo chakula chetu
Tunachohitaji utusamehe
Makosa yetu, hey

Kama nasi tunavyowasamehe
Waliotukosea, usitutie
Katika majaribu, lakini
Utuokoe, na yule, milele na milele

Other videos of this song

    Tuning

    Tuner

    OK