Cifra Club

Pombe (feat. Macvoice & Leon Lee)

Rayvanny

We don't have the chords for this song yet.

Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Eeh aiyoyoyo (it's s2kizzy beiby)
Eeh aiyeyeye
Aah aiyoyoyo
Eeh aiyeyeye

Kama, kama sitaki
Kama, kama sitaki
Nacheza kama, kama sitaki
Yaani kama ah ah kama sitaki

Wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (kama sitaki)
Nishafuta namba wachawi wote nawasahau (kama sitaki)
Sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (kama sitaki)
Sibishani na kenge, leta matusi nikublock (kama sitaki)

Nina-kunywa bia (kama sitaki)
Nina-kwama bia (kama sitaki)
Eh eh eh eh aiyoyoyo
Hio hio hio, aiyeyeye
Shuka shuka shuka, aiyoyoyo
Eh eh eh eh aiyeyeye

Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa

Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye

Nakapa pombe kakilewa ndo nakashika, kama sitaki
Napanda milima ghetto kileleni nafika, kama sitaki
Ninakunywa bia, kama sitaki
Ninakapa bia, kama sitaki

Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa
Nataka pombe, nataka kulewa
Nataka pombe pombe, nataka kulewa

Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye
Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo
Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye

(It's s2kizzy beiby)

Other videos of this song
    0 views

    Chord tuning

    Online tuner

    Ops (: Content available only in Portuguese.
    OK