Nataka pombe, nataka kulewa Nataka pombe pombe, nataka kulewa Eeh aiyoyoyo (it's s2kizzy beiby) Eeh aiyeyeye Aah aiyoyoyo Eeh aiyeyeye Kama, kama sitaki Kama, kama sitaki Nacheza kama, kama sitaki Yaani kama ah ah kama sitaki Wanoko washamba, nawacheka kwa dharau (kama sitaki) Nishafuta namba wachawi wote nawasahau (kama sitaki) Sinanga mawenge, siwajibu wakitoka (kama sitaki) Sibishani na kenge, leta matusi nikublock (kama sitaki) Nina-kunywa bia (kama sitaki) Nina-kwama bia (kama sitaki) Eh eh eh eh aiyoyoyo Hio hio hio, aiyeyeye Shuka shuka shuka, aiyoyoyo Eh eh eh eh aiyeyeye Nataka pombe, nataka kulewa Nataka pombe pombe, nataka kulewa Nataka pombe, nataka kulewa Nataka pombe pombe, nataka kulewa Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye Nakapa pombe kakilewa ndo nakashika, kama sitaki Napanda milima ghetto kileleni nafika, kama sitaki Ninakunywa bia, kama sitaki Ninakapa bia, kama sitaki Nataka pombe, nataka kulewa Nataka pombe pombe, nataka kulewa Nataka pombe, nataka kulewa Nataka pombe pombe, nataka kulewa Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo Leta tulewe, zungusha tena, aiyeyeye Oooh ooh, zungusha tena, aiyoyoyo Meza ipendeze, zungusha tena, aiyeyeye (It's s2kizzy beiby)