Tamu, Tamu (Eiyoo Trone) Tamu, Tamu (Ayo Lizer) Sura tisi chocolate Kidoti joketi katoto ni keki (ehh) Nitamwaga bajeti, nikape tiketi Kunipeti peti (ehh) Eh ulivyojazia ukinisusia itanizidia, eeh Nang’ang’ania sitokuachia unanipatia, eeh Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Aramba (Tamu) Ah aramba tena (Tamu) Oh aramba (Tamu) Ah aramba tena (Tamu) Ah aramba (Tamu) Ah aramba tena (Tamu) Oh aramba (Tamu) Ah aramba tena (Tamu) Chui! Vanny Boy, no no no no no Alamba ta-mu tamu napenda ukita-basamu Unavyonipa kwa mashamu Mashamu Hujaniita naka-mukamu Nitachuchumia na kuning’inia Nimekupa nia hiyoo Nitakusugulia ka' steel wire Na masufuria, yoh Nikisimama we lala, tamu tamu Nipe nguru sangara, tamu tamu Ukikamata munara, tamu tamu Nitulize papara, tamu tamu Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, tafuna tango ghetto si za Mori Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Ah alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Nimeshakupa seat, ukae mwenyewe ujinafasi Siwezi kukucheat, basi niamini ondoa wasi Mi ni mfungwa kwenye jela yako, nifungwe milele, milele Kweli pombe ya mapenzi yako, niacheni nilewe, nilewe Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Sambusa kachori, napenda macho yako gololi Shah Rukh Khan, Kajol Tucheze kuchikuchi kwenye mapori Alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Ah alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Oh alamba (Tamu) Ah alamba tena (Tamu) Ka mix Lizer!