Hallelujah Moyo wangu na imani yangu natamani mbinguni Ata nipitapo kwenye magumu natamani mbinguni kwa baba Hallelujah Sitamani miji vya huku sitamani éeh Natamani mji wa mbinguni Sitamani miji vya huku sitamani éeh Natamani mji wa mbinguni Éeeeh Nimesikia kwamba mbinguni kuna uzima éeh wa milele kila siku Mi napenda nikafanye makao hee mbinguni ya milele Ata nipitapo kwenye majiribu nitajitaidi mwisho wake nifike mbinguni Mi sitamani miji vya huku mi sipendi kwasababu Kila siku matatizo, wengeni wanaliya wengeni Wanalalama njaa wengeni hawana kazi mimi sitamani kuishi kwenye dunia Sitamani miji vya huku sitamani éeh Natamani mji wa mbinguni Sitamani miji vya huku sitamani éeh Natamani mji wa mbinguni Ikanave mwakudoba nindidoba kila liduva kutangadika éeh Mala ding'ondo mala malwele, mala maganisha Kushima vanu avanantumbwange nnungu éeh Nindidoba kudyanga kuka napata lipuwilo Likamalilika kila wakati kupuwanga Hallelujah Wimba pamo na vanjelo kuwa lipuwilo Njini wambi lipuwilo yelusalemu óoh lipuwilo