Mi si lover boy, in case you don't know Si lover boy, ooh no Mi si lover girl, in case you don't know Sio kama yule demu ooh no Na kama njiwa anavyopepea Roho yangu unaiilemea Kasura pia nako ulipokea Naona Mungu kakupendelea Basi nikumbatie hadharani Unipe ya chumbani We ni moto oh We ni moto Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Toka kwa jua njoo kwenye hema Wamekutesa sana mi ndiye chanda chema Nawapambe wale wasio penda mema Wanatuombea vita CCM Chandema Yaani we moto hauzimi Na kwa maneno ya ulimi Nishasadiki moyo kakupenda tu wewe Basi nikumbatie hadharani Unipe ya chumbani We ni moto oh We ni moto Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu Pete yangu, pete yangu Pete ya we nikama pete yangu