Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey Na vijisabuni vya magadi' Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake Eh' Kula ya mbuzi ni kamba yake (oh oo) Ye king'amuzi mi dishi lake Hook Fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!) Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!) Ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!) Kama afisa wa nida Ooh oh Tena' daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!) Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!) Nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!) Chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!) Tamba Tamba Nakupa uwanja tamba Tamba Tamba Warushe warushike roho zao Tamba Tamba Wasokujua wakujue leo Tamba Tamba Tamba mama lao Nitalinda benki kwa rungu' niaminie Taka langu mwana mvungu' nainama mie Wavunje nazi na nyungu' wajifushie Oh my wangu atulinde atulinde mungu' yasitufikie Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa Penzi si la unyang'anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza Naka t. V kangu kana waka kuzima' nikupe Naka simu kangu japo cha mchina' nikupe Shika na moyo wangu nenda nao mazima' nikupe Tuzaliwe makkah tufie madinah' nikupe Fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!) Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!) Ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!) Kama afisa wa nida Ooh Tena' daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!) Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!) Nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!) Chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!) Tamba Tamba Nakupa uwanja tamba Tamba Tamba Warushe warushike roho zao Tamba Tamba Wasokujua wakujue leo Tamba Tamba Tamba mama lao Wasafi Nishalinoa panga' porini kukata mua Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua Nishalinoa panga' porini kukata mua Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua Uu yeah yeah Uu yeah yeah yeah Nishalinoa panga' porini kukata mua Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua Nishalinoa panga' porini kukata mua Aiyo aiyo aiyo yo aiyo La la la, la la la, la la la La la la, la la la, la la la Aiyo, laizer