Ooh sweety sweety sweety nisikilize Sweety sweety niseme nimalize Mungu ametukanisha sweet yeeye Ana maana yake Mungu katuunganisha sweet wewe Kwa neema zake eh I told my mama I want to marry Nitakuja kwenu nitoe mahali Mi na we tuanze safari Ya mbali kina aah Mbaazi na choroko utofauti utaujua Jungu kuu wake ukoko yanini kuukwangua Mie ndama kwako motto Usije kunikafua Penzi tulipashe moto Wakigusa waungua Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana Wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama Baby nasikia twawaumiza Pole tunawapa pole Penzi lawakereketa Pole tunawapa pole Ooh hasidi watu wabaya Pole tunawapa pole Wameza panadol pengine watapoa Pole tunawapa pole Eeh Eeh eeh eeh eeh Ooh baba ba baba Sweety sweety sweety nisikilize Sweety ai sweety name nikujuze Eeh shubiri shubiri Chungu honey Nashindwa kuficha siri Yetu ya chumbani Akili yangu na mwili taabani Eeh Penzi upepo la pepea (pepea) Honey twende mbali (pepea) Kuni nitazichochea (chochea) Baby uje kupara wali eh Mithiri ya watoto mapacha tunavyopendana Mambo ya uzungu na usasa tunayopeana Penzi twalivujisha pakacha tunavujiana Wale wenye uchu wa paka hili penzi lawakwama Baby nasikia twawaumiza Pole tunawapa pole Penzi lawakereketa Pole tunawapa pole Ooh hasidi watu wabaya Pole tunawapa pole Wameza panadol pengine watapoa Pole tunawapa pole