Hujaacha tobo Uliloniachia ni bonge la tundu Sina nyendo Mama kaninunia Nahisi gundu Nakunywa gongo Najisaidia nguoni aibu Uuh mwalongo Kitanda changu ndio chooni Wewe ndio sababu uuh Butuu mobimba nazolela Naumia sana nimekuzoea Butuu mobimba nazolela (mama aah) Naumia sana nimekuzoea Hhhmm ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe Sura yako Nishasomewa vitabu Bado vinasema wewe Nikifa maiti yako (yeee eeeh eh) Ayayaya ayaya Na machozi hayataki kauka Ayayaya ayaya Nafuta kushoto kulia yashuka Ayayaya ayaya Na machozi hayataki kauka (mama) Ayayaya ayaya Utamu wa nanasi Ghafla huwa mchungu sana Ukinywa maji Baby wangu wasiwasi Nani kakuficha mama Rudi basi (uuuh) Tajiri wa uzuni Machozi kwangu (bwerere) Upepo wa firauni Umemkumba ngedere Mfukoni mbuni Vichenchi chenchi (njenjere) Uuh namaliza sabuni Mdomo koma (kelele) Butuu mobimba nazolela Naumia sana nimekuzoea Butuu mobimba nazolela (mama aah) Naumia sana nimekuzoea Hhhmm ndoto za ajabu Kichwani unakuja wewe Sura yako Nishasomewa vitabu Bado vinasema wewe Nikifa msiba wako (yeee eeeh eh) Ayayaya ayaya Na machozi hayataki kauka Ayayaya ayaya Nafuta kushoto kulia yashuka Ayayaya ayaya Na machozi hayataki kauka (mama) Ayayaya ayaya Moyo una malengelenge Moyo wangu eeh (malengelenge) Nahema kwa shida (malengelenge) Biashara yangu ya mapenzi (malengelenge) Hasara si faida (malengelenge) Maazoea (malengelenge) Nimekuzoea (malengelenge) Aaaah ah (malengelenge) Nimekuzoea