Heeeh mmmh Mpeni taarifa nnaeshea nae Mwambieni bado nipo nipo sanaa Hadi kibanda nisha jenga nae Na tunaelekea kuzaa na wanaa Asa nimuache ntaishije mjini Nimuache nimuachie nanii Siendi popotee Asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa) Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa) Eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa) Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa) Ah-oh-oh-oh, oh-oh-oh Ah-oh-oh-oh, oh, hm-eh, hm-oh, hm-eh Ukila masaki si twala ostabey Koko mishikaki silva ocean dubei Analipa vikodi analipa kodi Kaniagizia kindinga kiranger voggie Tatizo lako shoga chumbani haunogi Kutwa kifo cha mende haujui ata dog Kwako akileta mafuta abaya mitandio Mie pia kwangu supa miamala misalio Tutabanana hapa hapa tutabanana (Ah-ah-ah) kama leo kwako kesho kwangu twapokezana (Oh-oh-oh) tutabanana hapa hapa tutabanana (Ah-ah-ah) kama subian mie makata tutajuana Asa nimuache ntaishije mjini Nimuache nimuachie nanii Siendi popotee Asa ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa) Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa) Eti ampende pekeake ye amekua mamake (si hapo sasa) Ampende pekeake ye amekua babaake (si hapo sasa) Ah-oh-oh-oh, oh-oh-oh Aya sasa ukipanda mi nashuka ka daladala Eeh na ukijitia kususa wenzako twalaa Eeh ukipanda mi nashuka ka daladala Ukijitia kususa wenzako twalaa Na ukisusa susa susa (wenzako twala) Si una susa susa susa (wenzako twalaa) Thubutu kususa susa susa (wenzako twala) Eh jitie kususa susa susa fyyuuu