Nana na naaa Naa nana naaa na Naa nana naa na Naa naa nana Moko mokooo Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa Wallah kanipatia, anastahili sifa Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu Nikichoka ananikanda kwa mabarafu Maajab maajab, penzi lake la ajab Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab Maajabu maajabu, penzi lake la ajab Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab Kifuani hunipaka halua, mikono tende anazichambua Anilamba Kitandani humwaga maua Mingine hata chembe sikuwa najua Anitoa ushamba Na nitake nini kwake? Niombe nsipewe Iwe pemba ama chake chake, nichague mwenyewe Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe Libandike penzi kama gazeti walisome Tuwaadabishe sangara shombo vibetwe tuwang'ong'e Nikila nilishe chapati za alizeti ninone Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashone Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu Nikichoka ananikanda kwa mabarafu Maajab maajab, penzi lake la ajab Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab Maajabu maajabu, penzi lake la ajab Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab Ayo laizer Wasafi Halua halua, hunipa vitamu laini laini Halua halua kinyama cha hamu, uhondo utosini Halua halua sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimi Halua halua napewa hadi vya miko sasa nitake nini