Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Uhali gani wa hali Nakusalimu wa hali Habib wa hali Mi mzima wa shwaru Hofu usiwe na swali Moyo umetananari Mazoea, yamenijengea jabia mwenzako Nimelowea, ilo joto joto na harufu yako Nimekolae, linanizongea jinni huba lako Chochoea, upashe moto moto mwili wangu wako Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Mbalamwezi imetanda ishara dunia tulivu Jifunge upande kanga mkulima nichume mbivu Farasi mi wako panda, sichoki sina uvivu Deka katoto ka change, upo bahari tulivu Nimekosa ndege wa anga namtuma tuyuri Aje kwako kunipamba kwa maneno mazuri Khan ooh, sina mganga wa kunipa kibuli Sijui kilinge mi najua kitanda kuifanya shughuli Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib Assalaam alaykum ya habib