yatapitaa yanamwisho ipo siku tutayasahau watatuheshimu walotudharau kaza moyo nivumiliee amini tutayasahau watatuheshimu wanaotudharau wotee na ntakununulia (vyote) mawigi na simu (vyote) nitakuzawadia (vyote) pochi zenye thamani (vyote) na we wenda waringishia (vyote) utembee kwa uskani (vyote) na vioo ukiwafungia (vyote) aloiumba leo ni mungu na ndo ataiumba kesho amini fungu letu laja haliko mbalii alisema mtazaa kwa uchungu tutatafuta kwa mateso baby yote yakawaida husijalii mmh kidogo nachokuletea husinune pokea nipate moyo unifarijii navyote navyoongezea husichoke niombea mola atubariki zaidii wangu kakupa sura kakupa shepu nyuma chura mambo yetu mwana wa sanura mwenzako mimi i love you umeniteka medulla niko fyetu akili haina ndala iko peku umeniburura mwenzako mimi i love you ooh nivumilie yatapita yanamwisho ipo siku tutayasahau watatuheshimu walo tudharau kaza moyo nivumiliee amini tutayasahau watatuheshimu walotudharau wotee na ntakununulia (vyote) mikufu na simu (vyote) ntakuzawadia (vyote) pochi zenye thamani (vyote) nawe uende walingishia (vyote) utembee kwa uskani (vyote) na vioo ukiwafungia (vyote) ooh baby tazama nyota na mbalamwezi zatutazama liliwaka jua tukafanya subira mmh na ninapokosa nambie mupenzi sio kuzozana nyumba haijengwi kwa vita hasira kwenye macho yako nikiyatazama naiona huruma yako mama changamoyo mana kuna muda unakata tamaa nanoa kisu hatuui mnyama na kodi nyundo zatuandama ridhiki zama kwa zama ya kwetu kesho ya kwao ni jana kidogo nachokuletea husinune pokea nipate moyo unifarijii navyote naviongeze husichoke niombea mola atubariki zaidi yatapita kipenzi changu yatapita yanamwisho ipo siku tutayasahau watatuheshimu walo tudharau kaza moyo nivumiliee amini tutayasahau watatuheshimu walotudharau wotee nantakununulia (vyote) mawigi na simu (vyote) nitakuzawadia (vyote) pochi zenye thamani (vyote) na we wenda waringishia (vyote) utembee kwa uskani (vyote) na vioo ukiwafungia (vyote) wangu kakupa sura kakupa shepu nyuma chura mambo yetu mwana wa sanura mwenzako mimi I love you