Ni nini hiki mbona chanizuzua Nini hiki mbona chanisumbua Nakaribia kuzalilika Nakaribia kuzalilika Aliyeumba mapenzi hakusema yanamaumivu Aliyeumba mapenzi kakusema unaua wivu Gharama mapenzi gharama Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama Gharama mapenzi gharama Na nidonda sugu halitibiki ukishazama Unamuamini nakuzani ndugu yako Kumbe kijini ndio baby wa baby wako Mapenzi yataniua Bora nitafute pesa nianze jishaua (Niwe happy now) Mi mahaba yataniua (yatani kill) Bora nitafute pese nianze jishaua Nikizipata ni Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitu tu Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi Na watakoma aisee hili party Nyama choma ashjee ashe Miziki magoma ashjee vya arusha nivichomaje aje aje Na watakoma aisee hili party Nyama choma ashjee ashe Miziki magoma ashjee vya arusha nnita vishhh Nipite na kila mtu Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe Eh, kaa kupenda kampende baba ako (aah baba ako) Si unapenda kampende dada ako (aah dada ako) Kaa kupenda, kampende baba ako (aah baba ako) Si unapenda kampende kaka ako (aah kaka ako) Mapenzi yataniua (yatanikill) Bora nitafute pesa nianze jishaua (Niwe happy now) Mi mahaba yataniua (yatani kill) Bora nitafute pese nianze jishaua Nikizipata ni Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitu tu Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi mitungi Mitungi mitungi Gharama mapenzi gharama Utachukia ndugu marafiki ugomvi na mama Gharama mapenzi gharama Na nidonda sugu halitibiki ukishazama Hadi we, hadi we Hadi we, hadi wewe