Ashi, ashika, ashi Le general Dangote Ashi, ashika, ashi Kirungi bin shedede Kananipa Mambo ya pwani Hadi napandisha (mazyiii) Dozi kitandani had nazimika (ziii) Haniti chibu anakatisha (chiii) Ka nyakanga mwali anavyo katika Jamani Ale Ale Ale (Alele) Alelele (Alele) Oh Ale (Alele) Alelele (Alele) Asa oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Baby ooh Unifanya Nini Mi mwana wa mwenzio Maana kwako sioni, umenifunga na sikio Ukinishika hapa (Utamu) Ukinigusa huku (Utamu) Ukinichumu Mimi (Utamu) Ukinibusubusu jaman Oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Kama konokono mwenda pole kwenye mchanga Nakupa mkono wa kongole baby we mwamba Hesabu za kukokotoa umenifunza wewe Waniamisha mikoa bumbuli kwa ukerewe Oh mapenzi ni kinywaji soft Barid Wananuna mwenzao nikifaidi Oh malеzi amerithi upande wa Bibi Mwali nyuma Kama mlima itigi Oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Oka, okaka Usizidishe chumvi ntapata safura Nimеambiwa jusi unachezaga chura Asa chura (Anarukaruka) Chura (Anajumpjump) Ah chura oh oh (Anarukaruka) Jamn chura (Anajumpjump) Adede adede adede adede adede Adede adede adede adede Fagilia (Waaah) Eeeh Fagilia (Waaah) Kusemasema kando hayo Mambo ya kinafiki Kama wayaweza Mambo kuja unioneshe Kati Chura (Anarukaruka) Chura (Anajumpjump) Ooh chura (Anarukaruka) Chura (Anajumpjump) Adede adede adede adede adede yiiih Adede adede adede adede Fagilia (Waaah) Eeeh Fagilia (Waaah) Inde inde inde baby inde Inde inde inde nione inde Inde inde inde baby inde Asa inde inde inde nione inde Huyo mtoto (anabalaa) Mtoto (Anakusudi) Muone mtoto (anabalaa) Mtoto (Anakusudi) Oooh anasifa (anabalaa) Sifa za makusudi (Anakusudi) Mwana anajibiringita (anabalaa) Kifudi fudi (Anakusudi)