Si wanapenda kubang Eti watu hivi mjini na nyota zao, ya kwako ishafifia Sasa unadangia nini? Umekesha kimboka hujarudi hata na mia Shoga kichwa cha panzi, Bia moja umezima umetupwa kisavia, aiya Alafu kesho unavimba unatamba, na wigi umegongea wewe Kumbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa) Na Mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa) Ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa) Na jike shupa Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa (Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa) Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa? (Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?) Kwani shoga umalaya umechanjia Maana bingwa kutaka fazambia we Ulipopanga hata chumba hujalipia Lile danga limekukimbia ona Majanga umerudi huku unalia Ndo maana umekopwa Dada nipe sitokuwacha walai Bomba bomba haikatopsi haikatai Na ukinipa sherehe, mama mchumba na sherehe Swafi haina kwelele, Ukucha umepata upele Ukitaka mbele kalia, ukitaka nyuma utalia Bi shosti si uliyataka mwenyewe, ulisema na kibamia (aii mama) Mpaka kifo kia pocha shela na tai Leo nikopeshe niko mbaya haifai Baby washa haifai, maana mbili haikai Wala tatu haikai, sitasimama masai Baby niwai ntakufa mwenzako ushakula vitu Alafu bao langu la ushindi halivutiki kwa tissue Kumbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa) Na Mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa) Ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa) Na jike shupa Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa (Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa) Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa? (Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?) (Haaa) kane kane, si wanapenda kubang Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja Ganda mbili, ganga tatu Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja Ganda mbili, ganga tatu Nawaita wanangu wee (hee), eeh bajita (hee) Nawaita wanangu wee (hee), bajita, (hee) Basi twende nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa Masela kiuno cha Fally Ipupa We jombi nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa hiko Nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa Obey nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa Montana nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa Wanangu bado mdogo lakini anapenda chura Mashalove bado mdogo lakini anapenda chura Wanjala bado mdogo lakini anapenda chura Yule dada bado mdogo lakini ana