Eeh zombie acha iyo! He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki) Tunajump jump eh kama kitenesi Eeh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi Na kama huna msambwandaa usiingie kati (aye) Alulue alulue (alulue alulue) Aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue) Sema alulue alulue (alulue alulue) Kama mtu hachezi tumtoe (tumtoe tumtoe) Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba Mafta ta mafta ta mafta ta Yamemwagika yamemwagika yamemwagika Mpaka chini mpaka chini mpaka chini Aaamina amina na mwajuma Wanaringa hawa kima Kumbe wanauzaa Usiseme hivyoo Kilode kilode kilode Watoto wadogo wanataka nipotee Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongope Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote Haya sema shkamoo dada (shkamo dada) Shkamoo kaka (shkamo kaka) Mniamkie shkamoo mama (shkamo mama) Shkamoo baba (shkamo baba) Alulue alulue (alulue alulue) Ukiona hachezi mzabue (tumzabue tumzabue) Sema alulue alulue (alulue alulue) Haa! Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe) Eeh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba Aah twende mafta taa mafta taa mafta ta (yana ninii) Yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi) Mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mama)