Wanangu leo nina stress kibao Yaani akili yangu haiko sawa Wanangu kichwa kina vitu kibao Yaani naelekea kupagawa Baba mwenye nyumba Hela ya kodi nishaleweya Hataki maelezo yaani amenitimua Mubebe mchumbaa wangu wameniibia Kisa sina helaa yaani amenikimbia Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi nikifa ntakuja nayo We sir God nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo Ah, hizi dharau zinanichosha Na ndo maana Mungu wangu nakukopa onah! Mwajuma juzi alisema atakuja ghetto (hakujaa) Hakuja mchizi nikala detto (dharau) Amenifanya kama kichekesho (hakuja) Kanigandisha stendi fenichaa keko Basi mungu baba nikopeshe milioni kumi Nikifa ntakuja nayo We sir God nikoposhe milioni tano nikifa ntakuja nayo Oh-oh-oh-oh-oh-oh Weka! Aya twende muone maajabu yake Anaogopa mende ila anapenda kifo chake Aya twende muone uyo maajabu yake Anaogopa mende ila anapenda kifo chake Aya twende bingili chali chali Kifo cha mende chali Mama bingili chali chali (oh-oh-oh) Mpaka juu ya dali Kwanza mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe Mi mtoto wa watu sina nuksi mteke mteke Mi nikikupenda kwanza lazima unenepe Kama unabisha njo tu date (uone) Njo tudate (uone) Kama unabisha njo tu date (uone)