Weeh serejo mi usinioni kolokuhonga gari napewa mchanganyo Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko Weeh serejo mi usinioni kolokuhonga gari napewa mchanganyo mimi Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko Hata kama nikimuhonga gari la kwangu Ya nini mpige kelele Kwanza me ananipa pekeyangu Mchanganyo wake nyuma na mbele Hata kama nikimuhonga gari la kwangu Ya nini mpige kelele Kwanza me ananipa pekeyangu Mchanganyo wake nyuma na mbele Ndo maana msinione kolokuhonga gari napewa mchanganyo (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo) Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko) Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo) Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumbaNapewa mchanganyiko ooh! Ona aah! (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko) Mchanganyo, mchanganyiko Mchanganyo, mchanganyiko Mchanganyo, mchanganyiko Weh! De Ah! Mchanganyiko umenichanganya sio limbwata (taah!) Mngejuaga anavyonipaga si mgedata (taah!) Hapa ntadata (taah!), pili napata (taah!) Tatu niutata nisijefungiwa basata (taah!) Weeh nyuma paja figa mbwi sio mademu zenu wakidimbwi Akinitaka silingi na akilengesha sirembi Kwanza na nyumba ngingiMtoto amejazia Na mimi sirembi akinisusia Ndo maana akipiga katwazunguwanamtafuta wazungu Utamu ukizidi ninyonye mpaka aah! (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo) Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko) Msinione kwaru kuhonga gari napewa mchanganyo mimi (Msinione kolo kuhonga gari napewa mchanganyo) Wanangu msinione kwaru kuhonga nyumba napewa mchanganyiko ooh! Ona aah! (Msinione kolo kuhonga nyumba napewa mchanganyiko) Me namchuu me namchungulia Me namchuu me namchungulia Basi me namchuu me namchungulia Me namchuu me namchungulia Basi me namchungulia, me namchungulia Basi me namchungulia, me namchungulia Basi kama kweli chula maji, piga msamba piga Wanangu wa Kinondoni sijaona mkipiga Basi kama kweli chula maji, pga msamba piga Wanangu wa Temeke sijaona mkipiga (Ngoja ngoja!) Ngoja kwanza Basi twende shibe shibe (Haina bei), shibe tena (haina bei) Shibe shibe (haina bei), sijaona (haina bei) Shibe shibe (haina bei), shibe tena (haina bei) Shibe shibe (haina bei), sijaona (haina bei) Utamu wa Yesu umejaa kichwani Ndo maana me namwaga mambo hadharani Weeh Serejo utamu wa Yesu umejaa kichwani Ndo maana me namwaga mambo hadharani (twende tena) Basi zunguruka, maboxer zunguruka Weeh zunguruka, Dida zunguruka Weeh basi zunguruka, Mizuna zunguruka, haya aah! Ah! Me napewa mchanganyo